logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kuamini mitume
  4. Mtume wangu Muhammad - Rehma na amani za Allah ziwe juu yake-
  5. Hadithi
Imepokelewa kutoka kwa Bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe ju yao- amesema: Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini, akakaa Makkah miaka kumi na tatu, kisha akaamrishwa kuhama, hivyo akahama kwenda Madina, akakaa Madina miaka kumi, kisha akafariki Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-. Sahihi - Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
  • earth
  • English
  • čeština
  • ελληνικά
  • български
  • Pulaar
  • italiano
  • Choose Language

    • ಕನ್ನಡ
    • Malagasy
    • română
    • Kinyarwanda
    • Soomaali
    • тоҷикӣ
    • Ўзбек
    • العربية
    • español
    • português
    • Français
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
    • bahasa Melayu
explain-icon

Ufafanuzi

Anaeleza Bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- amesema: kuwa Wahyi uliteremshwa kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, na akatumwa akiwa na umri wa miaka arobaini, basi akakaa Makkah miaka kumi na tatu baada ya kuteremshiwa wahyi, kisha akaamrishwa kuhama kwenda Madina na akakaa huko miaka kumi, kisha akafariki -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka sitini na tatu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Maswahaba kuipa umuhimu historia ya Mtume-Rehema na amani ziwe juu yake.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kuamini mitume
  4. Mtume wangu Muhammad - Rehma na amani za Allah ziwe juu yake-
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Historia na Taarekh.
  3. Historia(Sira) ya Bwana Mtume.
  4. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Umma wangu wote wataingia peponi isipokuwa atakaye kataa
  • Alifariki Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- hali yakuwa hakuna chochote nyumbani kwake anachoweza kukila mwenye ini (uhai) ila kiasi kidogo cha ngano kilichokuwa katika ubao wangu (wa kuhifadhia chakula), nikala mpaka kikakaa muda mrefu...
  • Tukasema: Wewe ni bwana yetu, akasema: "Bwana ni Mwenyezi Mungu", Tukasema: Na mbora zaidi kuliko sisi katika fadhila, na mtoaji zaidi kuliko sisi, akasema: "Semeni kwa maneno mliyozoea, au baadhi yake, na wala asikukokoteni Shetani
  • Namuapa yule ambaye nafsi ya Muhammadi iko mkononi mwake, hatonisikia yeyote katika umma huu, Myahudi wala Mkristo, kisha akafa haliyakuwa hajayaamini yale niliyotumwa kwayo, isipokuwa atakuwa ni katika watu wa motoni
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo