logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Adabu za kisheria.
  4. Adabu ya kula na kunywa.
  5. Hadithi
Na imepokewa kutoka kwa bin Omari -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na baba yake -kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake - amesema: "Atakapo kula mmoja wenu basi na ale kwa mkono wake wa kulia, na atakapo kunywa basi na anywe kwa mkono wake wa kulia, kwani Shetani anakula kwa mkono wake wa kushoto, na anakunywa kwa mkono wake wa kushoto". Sahihi - Imepokelewa Imamu Muslim
  • earth
  • English
  • čeština
  • Kinyarwanda
  • Soomaali
  • العربية
  • español
  • Choose Language

    • português
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • тоҷикӣ
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
explain-icon

Ufafanuzi

Anamuamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- muislamu ale na anywe kwa mkono wake wa kulia, na anakataza kula na kunywa kwa mkono wa kushoto; na hii ni kwa sababu Shetani anakula na anakunywa kwa kushoto.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Katazo la kujifananisha na Shetani kwa kula au kunywa kwa kushoto.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Adabu za kisheria.
  4. Adabu ya kula na kunywa.
  5. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Ewe kijana, mtaje Mwenyezi Mungu, na kula kwa mkono wako wa kulia, na kula kile kinachokuelekea
  • Asishike mmoja wenu utupu wake kwa mkono wake wa kulia akiwa anakidhi haja ndogo, na asijifute haja ndogo au kubwa kwa mkono wake wa kulia na asipumulie ndani ya chombo anachonywea
  • Amesimulia kuwa mtu mmoja alikula chakula kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake kwa mkono wake wa kushoto, akasema: "Kula kwa mkono wako wa kulia", Akasema: Siwezi, akasema: "Kamwe, hutoweza!",
  • Hakika Allah humridhia mja anapokula chakula akamshukuru juu ya chakula hicho, au akanywa kinywaji chochote akamshukuru kwa kinywaji hicho
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo