explain-icon

Ufafanuzi

Ametahadharisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuchelewesha swala ya Lasiri nje ya wakati wake kwa makusudi, nakuwa mwenye kufanya hivyo yatakuwa yamebatilika matendo yake na yameharibika matendo yake na yameenda patupu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Himizo la kuihifadhi swala ya Lasiri mwanzo wa wakati wake na kuiharakisha.
  • Ahadi ya dhabu kali kwa atakayeiacha swala ya Lasiri ambayo ni swala ya kati kati, na kuitoa nje ya wakati wake maalum kwa amri iliyokuja katika kauli yake Mtukufu: "Zihifadhini swala na swala ya kati kati" [Al-Baqara: 238].