explain-icon

Ufafanuzi

Anaeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa kila wema na kuwanufaisha wengine kuanzia kauli au matendo huwa ni sadaka, na kuna malipo na thawabu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Nikuwa sadaka haishii tu katika vile anavyovitoa mtu katika mali yake, bali inajumuisha kila kheri anayoifanya mwanadamu au kuitamka na kuifikisha kwa wengine.
  • Hapa kuna himizo la kutenda wema, na kila jambo lenye manufaa kwa wengine.
  • Kutodharau kitu katika wema, hata kama ni kidogo.