explain-icon

Ufafanuzi

Mtume rehema na amani ziwe juu yake alimbashiria yeyote itakayepatwa na vumbi miguu yake huku akiwa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa moto hautomgusa.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Habari njema kwa mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu ya kuokoka na moto.
  • Ametaja miguu miwili pamoja nakuwa vumbi huenea mwili mzima; kwa sababu wapigana ji wengi katika zama hizo walikuwa watembea kwa miguu, na miguu hupata vumbi kwa namna yoyote ile.
  • Amesema bin Hajari: Ikiwa kitendo cha kuguswa na vumbi pekee kinaharamisha kuguswa na moto; vipi kwa atakayekwenda mbio na akatoa juhudi na akapoteza muda wake.