explain-icon

Ufafanuzi

Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Mayahudi ni watu waliokasirikiwa na Mwenyezi Mungu; kwa sababu waliujua ukweli na wala hawakuufanyia kazi. Na Wakristo ni watu waliopotea; kwa sababu walifanya matendo bila ya elimu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Kukusanya kati elimu na matendo ni kuokoka na njia ya waliokasirikiwa na waliopotea.
  • Kutahadhari njia ya Mayahudi na Wakristo, na kushikamana na njia iliyonyooka ambayo ni Uislamu.
  • Wote kati ya Mayahudi na Wakristo wamepotea na wamekasirikiwa, lakini sifa maalum kwa Mayahudi ni hasira, na sifa maalum kwa Wakristo ni upotovu.