explain-icon

Ufafanuzi

Anabainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- tahadhari kubwa kwa atakayemuuwa aliyechukua ahadi ya kulindwa -Naye ni kafiri aliyeingia katika mji wa kiislamu kwa ahadi na amani- kuwa hatonusa harufu ya Pepo, na hakika harufu yake huwa kuanzia umbali wa mwendo wa miaka arobaini.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Uharamu wa kumuua aliyechukua ahadi ya amani na kafiri anayeishi na waislamu, na aliyeomba amani katika makafiri, nakuwa jambo hilo ni dhambi kubwa katika madhambi makubwa.
  • Aliyechukua ahadi: Ni kafiri aliyechukua ahadi ya kutowapiga vita waislamu na huku akiishi katika mji wake, na wao wasimpige vita, na dhimi: Ni yule anayeishi mji wa waislamu na akalipa jizia (kodi ya kichwa), na muomba amani: Ni mtu aliyeingia mji wa waislamu kwa mkataba na amani kwa muda maalumu.
  • Tahadhari ya kufanya hiyana katika makubaliano na wasiokuwa waislamu.
explain-icon

Ziada