logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Fiq'hi na misingi yake.
  3. Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
  4. Hukumu za mwenyekuzaliwa- mchanga
  5. Hadithi
Kutoka kwa bin Omari -Radhi za Allah ziwe juu yao yeye na baba yake-: Yakuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amekataza kunyoa kiduku. Sahihi - Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
  • earth
  • English
  • čeština
  • magyar
  • italiano
  • ಕನ್ನಡ
  • Malagasy
  • Choose Language

    • română
    • Kinyarwanda
    • Soomaali
    • العربية
    • español
    • português
    • Français
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • тоҷикӣ
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
explain-icon

Ufafanuzi

Amekataza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kunyoa baadhi ya nywele za kichwa na kuacha baadhi. Na katazo linawahusu watu wote, mwanaume mtoto mdogo na mkubwa pia, ama mwanamke hatakiwi kunyoa nywele za kichwa chake.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Sheria ya Uislamu imetilia umuhimu wa muonekano wa kibinadamu.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Fiq'hi na misingi yake.
  3. Fiq'hi- ufahamu- kuhusu familia.
  4. Hukumu za mwenyekuzaliwa- mchanga
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Fiq'hi ya Tabia.
  4. Tabia mbovu.
  5. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Katika uzuri wa uislamu wa mtu: Ni kuacha kwake yale yasiyomuhusu
  • Atakayejifunza elimu katika yale yanayo ambayo hutafutwa radhi za Mwenyezi Mungu Mtukufu, hajifunzi isipokuwa kwa ajili ya kupata masilahi ya kidunia, basi hatoipata harufu ya Pepo siku ya Kiyama
  • Hakika mtu anayechukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi mkorofi
  • Hakika Mwenyezi Mungu humpa muda dhalimu, mpaka akija kumuadhibu hambakishi
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo