logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kuamini siku ya mwisho
  4. Hadithi
Imepokelewa kutoka kwa Qatadah -Mwenyezi Mungu amrehemu amesema: Alitusimulia Anas Bin Maalik -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- kuwa Mtu mmoja alisema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu vipi kafiri atafufuliwa akitembea kwa uso wake? Akasema: "Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?" Akasema Qatadah: Kwa nini asiweze, ninaapa kwa utukufu wa Mola wetu anaweza kufanya hivyo. Sahihi - Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
  • earth
  • English
  • čeština
  • ελληνικά
  • български
  • Pulaar
  • italiano
  • Choose Language

    • ಕನ್ನಡ
    • Malagasy
    • română
    • Kinyarwanda
    • Soomaali
    • тоҷикӣ
    • Ўзбек
    • العربية
    • español
    • português
    • Français
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
    • bahasa Melayu
explain-icon

Ufafanuzi

Aliulizwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- vipi atafufuliwa Kafiri akitembea kwa uso wake siku ya Kiyama? Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-akasema: Hivi Mwenyezi Mungu aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hapa Duniani hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?! Mwenyezi Mungu ni muweza wa kila kitu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Udhalili utampata Kafiri siku ya Kiyama na atatembea kwa uso wake.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kuamini siku ya mwisho
  4. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kumuamini Allah mwenye nguvu alie tukuka
  4. Kumpwekesha Allah kwa vitendo vyake(Uumbaji)
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Akida- Itikadi-
  3. Kumuamini Allah mwenye nguvu alie tukuka
  4. Kumpwekesha Mwenyezi Mungu katika majina yake na sifa zake.
  5. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
  • Hakika Mwenyezi Mungu anapompenda mja humuita Jibril na husema: Hakika mimi ninampenda fulani basi mpende, anasema: Jibril humpenda
  • Wenye huruma huwahurumia Ar-Rahmani -Mwingi wa huruma-, wahurumieni walioko ardhini atakuhurumieni aliyeko mbinguni
  • Enyi watu! Hakika Mwenyezi Mungu ni mzuri hakubali ila vizuri, na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini kwa yale aliyowaamrisha kwayo Manabii
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo