logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Mambo yaliyo bora.
  4. Ubora wa Qur'an tukufu.
  5. Hadithi
Imepokelewa kutoka kwa Uqbah Bin Aamir Al-juhaniy-Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake-amesema: Amesema Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake: "Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa siri ni kama mwenye kuficha sadaka." Sahihi - Imepokelewa na Abuu Daud, Tirmidhiy na Nasaai
  • earth
  • English
  • čeština
  • ελληνικά
  • български
  • Pulaar
  • italiano
  • Choose Language

    • ಕನ್ನಡ
    • Malagasy
    • română
    • Kinyarwanda
    • Soomaali
    • тоҷикӣ
    • Ўзбек
    • العربية
    • español
    • português
    • Français
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
    • bahasa Melayu
explain-icon

Ufafanuzi

Ameweka wazi Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa mwenye kuweka wazi kusoma Qur'ani ni sawa na mwenye kuweka wazi anapotoa sadaka, na mwenye kuficha kisomo cha Qur'ani ni sawa na mwenye kuificha sadaka.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Kuficha usomaji wa Qur'ani ni bora, kama ilivyo kuficha sadaka ni bora zaidi, kwa kuwa kufanya hivyo ni katika utakasifu wa nia na kujiweka mbali na kujionesha na kujisikia, isipokuwa itakapohitajika, na maslahi ya kuisoma kwa wazi ni katika kuifundisha.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Mambo yaliyo bora.
  4. Ubora wa Qur'an tukufu.
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Mambo yaliyo bora.
  4. Fadhila za matendo ya moyoni.
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  3. Adabu za kisheria.
  4. Adabu za usomaji wa Qur'an.
  5. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Je anapenda mmoja wenu pindi atakaporudi kwa mke wake apate Ngamia watatu wenye mimba na walio nenepa?
  • Someni Qur'ani, kwani, itakuja Siku ya Kiyama kama muombezi kwa sahibu wake
  • Lau kama nyinyi mngelimtegemea Mwenyezi Mungu ukweli wa kumtegemea, basi angekuruzukuni kama anavyomruzuku ndege, anatoka asubuhi akiwa na njaa anarudi mchana akiwa kashiba
  • Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, Kuamini mikosi ni shirki, alisema hivyo mara tatu", Na hakuna yeyote miongoni mwetu isipokuwa ana chembe ya hilo, isipokuwa Mwenyezi Mungu huliondoa kwa kumtegemea
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo