explain-icon

Ufafanuzi

Amewaamrisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake wanaume wenye kuswali kwa pamoja kukamilisha safu ya kwanza, kisha kukamilisha safu inayofuata, na kuendelea, na yakipatikana mapungufu katika safu basi yawe mapungufu haya katika safu ya mwisho.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Kumebainishwa sunna katika kulinganisha sawa safu.
  • Kwa wenye kuswali basi wasiache mapungufu katika safu ya mbele, bali yawe mapungufu katika safu ya nyuma.