explain-icon

Ufafanuzi

Amebainisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa asili katika swala ni kusali kwa kusimama, isipokuwa katika hali ya kutoweza hapo mtu atasali kwa kukaa, na ikiwa hatoweza kukaa atasali kwa ubavu.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Swala haidondoki kwa muda ambao akili bado ipo, itakuwa kwa kuhama kutoka hali moja kwenda nyingine kadiri ya uwezo.
  • Huruma na wepesi wa Uislamu kwa kumpa uhuru mja afanye kadiri awezavyo katika ibada.
explain-icon

Ziada