explain-icon

Ufafanuzi

Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa na tabia zilizokamilika kuliko watu wote, na mtu wa mbele katika tabia njema na mambo mazuri, kama maneno mazuri, na kufanya heri, na uso mkunjufu, na kujizuia na maudhi na kuyavumilia kutoka kwa wengine.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Ukamilifu wa tabia ya Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-.
  • Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yeye ndiye kiigizo kamili katika tabia nzuri.
  • Himizo la kuiga kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- katika tabia nzuri.