explain-icon

Ufafanuzi

Alihutubia Mtume rehema na amani ziwe juu yake kwa Maswahaba zake, na miongoni mwa mambo aliyowausia ni kuwa Muislamu isimzuie hofu na kuowaogopa watu na nguvu yao akaacha kusema haki au kuiamrisha atakapoiona au kuijua.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Himizo la kuidhihirisha haki na kutoificha kwa kuwaogopa watu.
  • Kusema haki haimaanishi ni kutokuwa na adabu katika mfumo wa kauli zake na hekima na mawaidha mazuri ndani yake.
  • Uwajibu wa kuondoa uovu, na kutanguliza haki ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kuliko masilahi ya watu yanayopingana na hilo.