logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Qur'an tukufu na Elimu zake
  3. Pekuziza Qu'an kiujumla.
  4. Hukumu za Qur'an na Misahafu.
  5. Hadithi
Kutoka kwa Ally radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akitusomesha Qur'ani katika kila hali madamu hana janaba. Ni nzuri (Hasan) - Imepokelewa na Abu Daud, Tirmidhiy, Nasai, Ibn Majah na Ahmad
  • earth
  • العربية
  • English
  • português
  • Русский
  • اردو
  • বাংলা
  • Choose Language

    • ไทย
    • සිංහල
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Türkçe
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • తెలుగు
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • Српски
    • فارسی دری
explain-icon

Ufafanuzi

Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake akiwafundisha Maswahaba zake Qur'ani na akiwasomesha yeye mwenyewe katika hali zote madam hajawa katika hali ya janaba litokanalo na tendo la ndoa kwa wakeze.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Kutofaa kusoma Qur'ani kwa mwenye janaba mpaka aoge.
  • Kufundisha kwa vitendo.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Qur'an tukufu na Elimu zake
  3. Pekuziza Qu'an kiujumla.
  4. Hukumu za Qur'an na Misahafu.
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Qur'an tukufu na Elimu zake
  3. Pekuziza Qu'an kiujumla.
  4. Adabu za Usomaji Qur;an na Ubebaji wa Qur'an.
  5. Hadithi
  1. Nyumbani
  2. Fiq'hi na misingi yake.
  3. Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
  4. Twahara - usafi-
  5. Kuoga.
  6. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Tulikuwa pamoja Mtume rehema na amani ziwe juu yake nasi tukiwa vijana karibu na balehe, tukajifunza imani kabla ya kujifunza Qur'ani, kisha tukajifunza Qur'ani, tukaongeza imani kupitia Qur'ani
  • Alisema kuniambia mimi Mtume rehema na amani ziwe juu yake: "Soma
  • Sub-haana llaah, ametakasika Mwenyezi Mungu, hakika muumini hanajisiki
  • Atakayekuja miongoni mwenu kwa ajili ya Ijumaa basi na aoge
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo