explain-icon

Ufafanuzi

Alikuja Kaisi bin Aswim kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitaka kusilimu, Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akamuamrisha aoge kwa maji na mti wa mkunazi; kwakuwa majani yake hutumika katika usafi; na kwakuwa yana harufu nzuri.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Sheria ya kafiri kuoga anapoingia katika Uislamu.
  • Thamani ya Uislamu na kutilia kwake umuhimu mwili na roho vyote kwa pamoja.
  • Maji kuchanganyika na vitu safi haviyatoa katika twahara yake.
  • Visimama badala ya mkunazi vifaa vya usafi vya kisasa, kama sabuni na mfano wake.
explain-icon

Ziada