logo
  • Nyumbani
  • Upangiliaji mkuu arrow

    Upangiliaji mkuu

    • Qur'an tukufu na Elimu zake
    • Hadithi na Elimu zake
    • Akida- Itikadi-
    • Fiq'hi na misingi yake.
    • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
    • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
    • Historia na Taarekh.
    • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya
  • Kuhusu mradi
  • Portal of Developers
  • Wasiliana Nasi mail
Wasiliana Nasi mail
earth Kiswahili arrow

Choose Language

Share Hadith

Available Translations:

  1. Nyumbani
  2. Fiq'hi na misingi yake.
  3. Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
  4. Twahara - usafi-
  5. Sunna za Kimaumbile.
  6. Hadithi
Imepokewa kutoka kwa Bin Omar -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake na baba yake- kutoka kwa Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-amesema: "Punguzeni sharubu na mfuge ndevu". Sahihi - Wamekubaliana Bukhari na Muslim juu ya usahihi wake
  • earth
  • English
  • čeština
  • Kinyarwanda
  • Soomaali
  • Malagasy
  • العربية
  • Choose Language

    • español
    • português
    • Русский
    • اردو
    • Deutsch
    • Shqip
    • বাংলা
    • ဗမာ
    • bosanski
    • தமிழ்
    • ไทย
    • සිංහල
    • svenska
    • Tiếng Việt
    • മലയാളം
    • हिन्दी
    • Hausa
    • Èdè Yorùbá
    • فارسی
    • Türkçe
    • 中文
    • Bahasa Indonesia
    • Wikang Tagalog
    • پښتو
    • አማርኛ
    • ئۇيغۇرچە
    • తెలుగు
    • 日本語
    • Kurdî
    • Nederlands
    • ગુજરાતી
    • অসমীয়া
    • тоҷикӣ
    • Кыргызча
    • नेपाली
    • lietuvių
    • Српски
    • فارسی دری
explain-icon

Ufafanuzi

Anaamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kupunguza sharubu na zisiachwe bali zipunguzwe, na azidi kupunguza zaidi. Na pamoja na hilo anaamrisha kufuga ndevu na kuziacha zikichanua.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Uharamu wa kunyoa ndevu.
explain-icon

Aina tofauti

  1. Nyumbani
  2. Fiq'hi na misingi yake.
  3. Fiq'hi- Ufahamu- wa Ibada mbalimbali.
  4. Twahara - usafi-
  5. Sunna za Kimaumbile.
  6. Hadithi
explain-icon

Ziada

  • Mswaki ni usafi wa kinywa, humridhisha Mola
  • Nilimuuliza Aisha, nikasema: Ni kwa jambo gani alikuwa akianza nalo Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoingia nyumbani kwake? Akasema: Kwa mswaki
  • Tuliwekewa muda wa kupunguza sharubu, na kupunguza kucha, na kung'oa nywele za kwapa, na kunyoa nywele za siri, tusiziache zaidi ya siku arobaini
  • Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake anapoamka usiku anasafisha kinywa chake kwa mswaki
logo

Mkusanyiko wa Hadithi za Mtume zilizotafsiriwa

Mradi huu unalenga uwezeshaji wa kupatikana Uchambuzi wa kina na Tarjama zilizo wazi za Hadithi za Mtume zilizo sahihi.

Upangiliaji mkuu

  • Qur'an tukufu na Elimu zake
  • Hadithi na Elimu zake
  • Akida- Itikadi-
  • Fiq'hi na misingi yake.
  • Mambo mazuri na Adabu- Heshima.
  • Daa'awa na(kujitolea) kuamrisha mema nakukataza mabaya
  • Historia na Taarekh.
  • Da'awa na (kujitolea) kuamrisha mema na kukataza mabaya

Important Websites

  • Bayan Al islam
  • The holy quran encyclopedia
  • Developers API
logo