Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Nilimsikia Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- Akisema: "Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema" wakasema: ni vipi hivyo viashiria? Akasema: "Ni ndoto njema". Sahihi - Imepokelewa na Al-Bukhaariy