explain-icon

Ufafanuzi

Anamtahadharisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake mwanaume kumuingilia mkewe katika utupu wake wa nyuma; kuwa amelaaniwa na amefukuzwa kutoka katika rehema ya Mwenyezi Mungu, nalo ni dhambi katika madhambi makubwa.

explain-icon

Katika Faida za Hadithi

  • Uharamu wa kuwaingilia nyuma wanawake.
  • Kustarehe na mke sehemu yoyote katika mwili wake isiyokuwa nyuma inafaa.
  • Muislamu anamuingilia mwanamke katika tupu yake ya mbele kama alivyomuamrisha Mwenyezi Mungu; na ama kwa nyuma kuna kuharibu maumbile, na kupoteza kizazi, na kwenda kinyume na asili salama ya viumbe hai, na kuna madhara makubwa kati ya wanandoa.
explain-icon

Ziada